Mwanamama kazini: Helena Costa (kulia) ndiye mocha mpya wa Clermont Foot ya Daraja la Pili Ufaransa
Kocha wa Iran, Costa (kushoto) atakuwa mocha mpya wa timu ya ligi kubwa Ulaya
KLABU ya Daraja la Pili Ufaransa, Clermont Foot imemuajiri mwanamama Helena Costa kuwa mocha wao mpya.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 39 atakuwa mocha wa kwanza wa kike kuongoza timu ya maharaja mawili ya juu katika Ligi za Ulaya.
Costa kwa sass ni mocha wa timu ya taiga ya wan awake ya Iran ambaye awali alifundisha timu za wan awake za Qatar na Benfica. Pia amewahi kufanya kazi na mabingwa wa Scotland, Celtic.
No comments:
Post a Comment