Pages

Tuesday, May 6, 2014

Tazama Picha Za simba 2 na fisi 12 wakigombea mzoga wa tembo, unajua nani alishinda?

Vita ni vita, lakini vita ya simba na fisi inavutia sana, maana fisi zake ni kuvizia tu simba aue mnyama halafu yeye anaingia pale na wenzake wanafanya ushirikiano saccos, wee! simba atajuta, jionee mwenyewe mambo yalivyokuwa huko Chobe National Park baada ya simba kujiulia tembo mnyonge wakati wanpata msosi wao fisi wakalianzisha...!
Botswana 1Botswana 2
Botswana 3
Botswana 4Botswana 5Botswana 6Botswana 7Botswana 8Botswana 9Botswana 12Botswana 14
Botswana 15

No comments:

Post a Comment