HOT NEWSS::Treni ya TAZARA yageuzia njiani na kurudi TAZARA
Katika hali isiyokuwa kawaida train ya abiria ilokuwa imeanza
safari yake saa nane kasoro mchana wa leo kutoka jijini kuelekea mkoani
Mbeya imelazamika kugeuzia njiani kurudi pale kituoni TAZARA na
itaendelea na safari saa kumi na moja na nusu jioni ya leo.
Sababu waloelezwa abiria inaitwa (SABABU ISIYOZUILIKA).
Wote mlowasindikiza ndugu jamaa na marafiki jueni kwamba bado wapo hapa hapa jijini Dar mpaka sababu hiyo itapotengamaa.
Pia wadau msishangae siku utapoenda pale TAZARA kumpokea mgeni wako itakubidi ulipe kiingilio cha shilingi elfu moja.
Kiasi hiki kipya kimepandishwa baada ya kile cha mia 5 cha awali.Kiwango
hiki ni kikubwa sana kwa watu wa maisha ya chini wanaokuja kupokea
ndugu zao.
No comments:
Post a Comment