Pages

Tuesday, May 13, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA:::ALBINO AUAWA KINYAMA SIMIYU,AKATWA VIDOLE NA MGUU

MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu.
Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.

No comments:

Post a Comment