Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN!
JAMII YAASWA KUWAKUMBUKA WENYE MAHITAJI MAALUM KIPINDI CHA SIKUKUU ZA
MWISHO WA MWAKA
-
*Na WMJJWM-Dar es Salaam.*
*Jamii imehimizwa kuwakumbuka watu wenye Mahitaji Maalum katika msimu huu
wa Sikukuu kwa kuwapatia zawadi na mahitaji mbalimbal...
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment