Pages

Thursday, May 22, 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA UGANDA

PG4A9864Waziri wa Ujenzi, John Magufuli  akisoma bajeti ya Wizara  hiyo bungeni mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9913Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la Uganda, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma . Kutoka kushoto ni Ssentongo Theopista Nabulya, Mchambuzi wa Masuala ya Sera wa Bunge la Uganda (Policy Anallyst , Parliament of Uganda) na Dr.  Chris Baryomunsi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment