Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS Jana mchana. Mpiga picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)
WAZIRI SILAA AWEKA BAYANA MAKAKATI YA KUWEZESHA IDARA YAKE YA HABARI ,
MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA KUPITIA USHIRIKIANO NA WANAHABARI
-
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka
wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa
karibu n...
42 minutes ago
poleni sana mungu awape nguvu na awaponye haraka
ReplyDelete