Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 21, 2014

BREAKING NEWSS:::WATU 18 WAFARIKI DUNIA ENEO LA MAKONGO KWA AJALI YA COASTER NA LORI




Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!.Chanzo GPL

No comments:

Post a Comment