Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 30, 2014

COSTA RICA YAPETA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MIKWAJU YA PENATI 5-3 DHIDI YA UGIRIKI

COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za kawaida na za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.Hata hivyo kocha wa Ugiriki,  Fernando Santos alitolewa kwenye benchi kwa kuoneshwa kadi nyekundu kutokana na kumzonga mwamuzi katika mchezo huo ulioenda hatua ya penati.
Sokratis (kushoto) akifunga bao la kusawazisha dakika za lala salama

No comments:

Post a Comment