Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 30, 2014

DIAMOND AKUBALI MATOKEO YA BET AWARDS 2014 SOMA ALICHO KIANDIKA HUKO INSTAGRAM

"Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani....Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo... Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa... Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!.... Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa.....!!!!!!@wcb_wasafi For Life Baby 💪👊😁"

Diamond alikuwa kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ACT , tuzo hiyo imenyakuliwa na msanii Davido kutoka nigeria



No comments:

Post a Comment