Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 12, 2014

DUHHH HAYA NDIO MASHINDANO YA HIPS KWA WANAWAKE,JIONEE MWENYEWE HAPA HATARIIIII

 Mshiriki akiwa mbele ya Majaji
 Washiriki wakiwa kwenye Mapozi ya Ukodak


Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & CasinoNa mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car.

No comments:

Post a Comment