Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 11, 2014

GARI LA SERIKALI KUTUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WATWANGANA MAKONDE KUGOMBEA HELA ZA KULINASUA


Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Gari  la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.Muonekano wa shimo ulivyo.Vijana wakilisukuma gari  hilo.Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na mwenye gari lililonasuriwa.Baada ya gari kukwamuliwa na kujitayarisha kuondoka.
(Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments:

Post a Comment