Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 21, 2014

Jose Mourinho atoa Machozi IVORY COAST

20140619-183207-66727232.jpg
Manager ambae analipwa kiasi kikubwa sana cha pesa kuliko managers wengine wa “England Premier League” (EPL) wa timu ya ‘Chelsea FC’ ya mjini London nchini England ‘Jose Mourinho’, hivi karibuni alitoa machozi baada ya kutembelea nchini ‘Ivory Coast’ kama ambassador wa “UN World Food Programme”
20140619-183259-66779204.jpg
Jose alionyesha hali huzuni safari yake yote na kusema kuwa timu na wachezaji wa kulipwa inabidi wawe wanakatwa kiasi cha pesa kwa ajili ya kusaidia watu wasioweza kupata chakula huko afrika.
20140619-183346-66826030.jpg
Jose alitembelea kambi za wakimbizi na hospitali za wagonjwa wa HIV na kuona ni jinsi gani kuna binadamu ambao wanahangaika kupata mlo hata mmoja tu kwa siku, ikiwa wao wanapata pesa nyingi sana ambazo wanaishi zaidi ya maisha ya kawaida. Jose aliahidi na alisema yupo tayari kutoa msahara wake wa wiki moja kwa kila mwezi kuweza kusaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kupata chakula huko afrika.
20140619-183420-66860383.jpg
Vile vile Manager hiyo amezungumzia kuwa anaipenda sana nchi ya England kwa mapenzi waliyokuwa nae na angependankuwa Manager wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kama akipewa offer hiyo.

No comments:

Post a Comment