Huyu
ni dada yangu alikuwa amelazwa Palestina Sinza lakini imempendeza Mungu
apumzike. Ee Mungu nitie nguvu... dada Lydia Mungu amekupenda zaidi
RIP.Hayo ni maneno ya Joyce Kiria Mda mchache uliopita.Dj Sek Blog Hii inapenda kutoa pole Kwa dada Joyce Kiria kwa wakati mgumu alionao kwa sasa Mungu akupe nguvu na mlaze dada yeako mahala pema pema peponi Amina
No comments:
Post a Comment