Fundi akiangalia sehemu ya gari lililogongwa.
Dereva wa Bajaj akiondoka baada ya kumalizika kwa tatizo
hilo.
KAMERA yetu imenasa Bajaj iliyokuwa ikiendeshwa
na mlemavu ambapo iligonga gari kubwa wakati inarudi nyuma maeneo ya Posta mtaa wa Samora jijini Dar ambapo
mwenye gari alitaka alipwe 20,000/= kwa
matengenezo ya gari lake.
Kwa vile mlemavu hakuwa na fedha hiyo, wasamaria wema
walimchangia na kulimaliza suala hilo.
CREDIT:GPL
No comments:
Post a Comment