Pages

Wednesday, June 11, 2014

KITUKO CHA LEO BUNGENI: MH. LUGOLA ATINGA NA BANGO LA KUOMBA KURA BUNGENI DODOMA LEO



Mh. Lugola baada ya kuingia Bungeni akiwa amevalia bango la kuomba Kura kwa wabunge wenzake

 Mh . Lugola akiwa anavua bango lake Baada ya Mbunge Mh. Mchungaji Msigwa kuomba muongozo wa Mh. Spika na kuamuliwa avue bango hilo

Mh. Lugola baada ya kuvua bango hilo na kuendelea na kuomba Kura.

No comments:

Post a Comment