Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 29, 2014

LORI LA MIZIGO LAHARIBU BARABARA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Gari kubwa ‘likilazimisha’ kupita barabara finyu eneo la Mwananyamala, Dar.
GARI kubwa la kubeba mizigo ambalo halikutakiwa kupita barabara finyu eneo lijulikanalo kama  Peace,  Mwananyamala, jijini Dar es Salaam,  limeharibu sehemu ya mtaro wa barabarani na barabara nyenyewe baada ya kulazimisha kupita katika barabara hiyo na kusababisha foleni kwa muda. 
Eneo la mtaro na barabara lililoharibiwa na gari hilo kubwa.


PICHA NA GPL

No comments:

Post a Comment