Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya rais mpya wa Malawi kukabidhiwa madaraka leo jijini Brantyre kwenye hoteli Sunbird. Baada ya kukutana viongozi hao walipata fursa ya kuzungumzia masuala la kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili na kukubaliana kuendelea kuwa na mahusiano mema kama nchi zinazoishi ndugu na jirani. Picha kwa Hisani ya Ikulu ya Malawi
NIC yawafikia wafanyabiashara wa Sekta ya madini Geita yashinda Tuzo Kibabe
-
-NIC yaweka mikakati ya kutoa elimu ya Bima nchini
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV.
NIC Insurance imeshinda Tuzo ya kibabe katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment