Akiwa mtaani
Nelson Paviott amedhihirisha kuwa anaweza kula kiapo kwani mpaka leo anavaa nguo za rangi ya Nchi yake.
Aliahidi kuvaa rangi za kijani,njano,nyeupe na blue na jamaa huyu hakuaishia hapo hata magari yake kayapaka rangi hizo,ofisi yake na hata chakula anadai kula vyenye rangi hizo. Je, wewe unaweza?
Huwezi kuamini lakini ndo ukweli wenyewe hata kwenye boneti kapaka rangi hizo
Hayo ni magari yake
Viatu vyake
Akichagua nguo na tazama saa yake hapo
No comments:
Post a Comment