Pages

Thursday, June 19, 2014

MH. LOWASSA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA DODOMA




Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma, sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali,  nyumbani kwake Kikuyu Flats.

Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni

No comments:

Post a Comment