Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 27, 2014

MSANII CHIPUKIZI ANAYEKUJA KWA KASI KWENYE BONGO MOVIE HUYU HAPA



Huyu ni msanii anaekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu Tanzania  Anaitwa Asfa Omary kwa jina maarufu ni Neema wa twenty.Ni binti mdogo sana lakini anajituma na anajua nini anachofanya katika kazi yake ya sanaa.Pia amekwisha cheza baadhi ya Filamu kama jicho langu,mama ntilie,zena na betina ambazo pia zimefanya Vizuri Sokoni

No comments:

Post a Comment