Pages

Friday, June 6, 2014

MSANII WA FILAMU SALMA JABU(NISHA) ASHANGAZA KWA MAUZO YAKE SOKO LA FILAMU TANZANIA


Salma jabu nisha awafungasha wenzake sokoni yasemekana msanii bora kunako tasnia ya filamu tanzania awafungasha tela wasanii wenzake sokoni sasa wanamtafuta kwa tochi amekuwa msanii mwenye uwezo wa kuliteka soko si kwa wasanii wa kiume wala wakike yeye ndio kinara kwa sasa na ana mashabiki wengi sana salma jabu anaendelea kusema nawashukuru,namshukuru mungu na mashabiki na pia bloggers wananipa support sana na vyombo vingine vya habari asanteni......

No comments:

Post a Comment