Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 28, 2014

MWENDESHA BODA BODA ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Katika hali ya kusangaza wakazi wa jiji la Dar leo asubuhi maeneo ya barabara ya Morogoro - Ubungo, Mwendesha Boda boda na abiria wale walikula mweleka baada ya kujifanya kuipita bajaji iliyokuwa mbele yake.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo walisema kuwa mwendesha Boda Boda alikuwa kwenye mwendo kasi ili aipite bajaji ila mahesabu yake yalikuwa mabaya ndiyo alipojikuta akiupanda ukuta wa bembezoni mwa barabara ba kudondoka akiwa pamoja na abiria wake na hakuna aliyekufa. 
Wasamalia wema wakijaribu kuinyanyua boda boda hiyo kuitoa barabarani.

No comments:

Post a Comment