Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano
Akitangaza
majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya
wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia
kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati
wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa
kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule
mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo
mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu
ambapoamesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajiripot hadi tarehe hiyo nafasi
zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
MAJINA NA SHULE ZILIZOPANGIWA WANAFUNZI KWENDA YATAKUJIA HAPA HAPA TUNASUBILIA LINK
No comments:
Post a Comment