Wananchi wakiwa eneo la ajali baada ya malori kugongana huko Simike, Mbeya.
AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori
mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na
foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha
bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika
kwa muda.Chanzo GPL
No comments:
Post a Comment