Pages

Thursday, June 5, 2014

PICHA ZA MATUKIO YA BUNGENI DODOMA LEO


Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab  Kawawa wa Viti Maalum (kushoto), Sylivester  Mabumba wa Dole (wapili kushoto), Vita Kawawa wa Namtumbo na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama Terry Gbemudu (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji  ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment