Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 27, 2014

PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATINUMZ INAYOTARAJIWA KUTOKA HIVI KARIBUNI

Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali. Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msitini na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa enzi za kabla ya ukoloni.
10513769_1502779259957797_1663715630_n10413013_1506214419609205_3260841_n924386_158463804322568_1115509688_nPia kupitia Instagram, staa huyo amepost picha akiwa airport nchi za nje akielekea Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET, zitakazotolewa June 29.

 
10517949_331255273698429_525471304_n
NA BONGO CLAN

No comments:

Post a Comment