Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla
ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini
Dar es Salaam leo Juni 9, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel
Albert Ndomba na maafisa waandamizi wa jeshi na waombolezaji wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa
Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe katika Hospitali Kuu ya Jeshi
(GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
kwenya shughuli ya kuaga mwili wa
Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH)
Lugalo, jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wafiwa kwenya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe
aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH)
Lugalo, jijini Dar es Salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii
huyo maarufu wa filamu za vichekesho
nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga
jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete
wakifariji wafiwa wakati walipokwenda
kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu
vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam
leo Juni 9, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa
msanii maarufu wa filamu vichekesho
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa
marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi
Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa
marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu
“Mzee Small”
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi,
Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa
msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam
leo Juni 9, 2014
No comments:
Post a Comment