Yasemekana msanii Salma jabu nisha ndio
msanii wa kike anaye jiheshimu kupita kiasi kwa mavazi yake na mashabiki
wakimpenda kila siku na kuahidi kumssuport kwa tabia yake hiyo na wanasema
kweli yeye kioo cha jamii kwa kuwa hana makundi na hana tabia ya kujibizana na
watu kwenye mitandao walipo ulizwa wasanii wenyewe walisema ni kweli Nisha ni
msanii anayehishimiwa sana sasa hivi mpaka mauzo yake yameongezeka mara dufu
sokoni mwenyew anasema namshukuru mungu kwa kila jambo.Huyu ndio Salma Jabu ama
Nisha
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment