Pages

Monday, June 23, 2014

TAZAMA PICHA 6 ZA MWIMBAJI WA KWETU PAZURI ALIVYOVISHWA PETE



Furaha akivishwa pete ya uchumba.


Baada ya pete ni matabasamu tuuu.


Pete ikionyeshwa na zawadi mkononi akikamata.


Akipokea zawadi kutoka kwa mtarajiwa mumewe.Kj Marcello



Furaha mwenye Furaha.


Furaha akiwa na marafiki zake akiwemo Kelly aliyesimama nyuma, mwimbaji wa Ambassadors.

Mmoja kati ya waimbaji wa muda mrefu wa kundi la Ambassadors of Christ a.k.a Kwetu Pazuri aitwaye Furaha Sandrine , jumapili iliyopita aliutambulisha rasmi ubavu wake uitwao Ngabo Karangwa Tony katika sherehe ya kulipiwa mahari na kuvishwa pete ya uchumba rasmi iliyofanyika nyumbani kwao maeneo ya Gikondo  jijini Kigali, ambapo harusi inatarajiwa kufanyika tarehe 6/7/2014 katika kanisa la Wasabato la Gisenyi na kufuatiwa na shere ya kuwapongeza itakayofanyika katika pwani ya Lac Kivu beach.

No comments:

Post a Comment