Pages

Monday, June 9, 2014

TAZAMA PICHA JINSI WATUHUMIWA WA MTOTO WA BOKSI MAREHEMU "NASRA" WALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO,WANAINCHI WAWAZONGO NA KUWAZOMEA


Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.


Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.


Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo.BOFYA HAPO CHINI KUONA WANAINCHI WAKIWAZOMEA WATUHUMIWA




Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.



Wananachi hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa waliorejeswa polisi kwa mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.
(Picha: Dunstan Shekidele -GPL/Morogoro)

No comments:

Post a Comment