Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee Mohammed Cheupe (katikati) na Seif Membe (kulia) kutoka Jimbo la Ruangwa ambao walitembela bunge mjini Dodoma Juni 20, 2014, kwa mwaliko wa mbunge wao Kassim Majaliwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Rungwe Magharibi, Profesa David Mwakyusa (kushoto) akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Kassim Ahmed, Bungeni mjini Dodoma Juni 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment