Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 11, 2014

TAZAMA PICHA ZA TIMU YA CAMEROON WALIPOTUA BRAZIL


Wazee wa mgomo: WacheZaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini kwao jana.

 Alex Song akishuka kwenye pipa
Samuel Etoo naye huyooo akikanyaga Ardhi ya Brazil

No comments:

Post a Comment