Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 27, 2014

TAZAMA PICHA::DEREVA WA DALADALA ASHUSHIWA KIPIGO NA ABIRIA WAKE NI BAADA YA KUTAKA KUSABABISHA AJALI


Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo na abiria baada kutaka kupindua daladala hiyo karibu na stendi ya mnazi mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.


Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.



deiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.

No comments:

Post a Comment