Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 26, 2014

WEZI WAIBA BEGI LENYE CHATU WAKIDHANI NI PESA JIJINI DAR WAKIMBIA NA KULITEKELEZA,PICHA JIONEE HAPA

Dar: Wezi waiba begi lenye chatu wakidhani pesa  
Mwenye nia mbaya anaweza kudhani amepata kumbe amepatikana, anaweza ukadhani kila siku atapiga bingo kama hatakamatwa na raia kumbe mzigo alioiba unaweza kugeuka fimbo na hatari kubwa kwake hata bila kukamatwa.

Watu wasiojulikana wanasadikika kuiba begi kubwa maeneo ya Sinza, Dar es Salaam wakidhani begi hilo lina pesa na badala yake wakakutana na chatu mkubwa walipolifungua.

Wakazi wa Sinza walimkuta chatu huyo katika daraja akiwa karibu na sanduku hilo linaloaminika kuwa lilimbeba chatu huyo. 



Inaelezwa kuwa wezi hao walilitupa begi hilo na kutokomea pasipojulikana baada ya kuona mambo yamekuwa ndivyo sivyo.

No comments:

Post a Comment