kweli umefulia kwa huu wimbo wako na ule kelewi kelewi utakushusha
nakushauri usibadilishe staili yako ya kuimba utapoteza mashabiki wengirudi nyuma kwenye mbagala , mawazo, nitarejea, lala salama na my number one ila sio hii ya sasa kitondoro na kerewi
kweli umefulia kwa huu wimbo wako na ule kelewi kelewi utakushusha
ReplyDeletenakushauri usibadilishe staili yako ya kuimba utapoteza mashabiki wengi
ReplyDeleterudi nyuma kwenye mbagala , mawazo, nitarejea, lala salama na my number one ila sio hii ya sasa kitondoro na kerewi