Al-maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) imetoa ofa ya punguzo la ada katika ngazi zote za cetificate, diploma na degree katika kozi zote wanazo zitoa.
AMCET ambayo inataraji kupokea kwa mara ya kwanza wanafunzi wa degree huku wakitaraji kupokea awamu ya tatu katika ngazi ya diploma na awamu ya tano kwa ngazi ya certificate katika mwaka wa masomo wa 2014/15, ilitangaza ada za diploma na certificate kuwa ni tsh 950,000 na 850,000.
Kutokana na ofa iliyo tolewa kwasasa ada ya diploma na certificate itakuwa ni Tsh 650,000/=, huku ya degree itakuwa Tsh 950,000/= na kwa wale walio itimu AMCET na kutaka kuendelea na degree wao ada yao ni TSh 650,000/=.
AMCET inatoa kozi za ElectronicEngineering, Electrical Engineering na Information Technology kwa ngazi ya diploma na kwa ngazi ya certificate wanatoa kozi za Information Technology, Computer Engineering, Electronic, Telecomunication Engineering, Communication and network System Engineerinig, Electrical Engineering na upande wa degree wanatoa bachelor of Electrical Engineering na Bachelor of information system and network engineering.
AMCET vile vile wanapokea wanafunzi walio hitimu kidato cha 4 na kukosa sifa za kujiunga na certificate kwa kupewa program maalumu (NVTA III) ya mwaka mmoja kabla ya kuanza certificate yake ambayo itamuagharimu mwaka mwingine mmoja. Program hiyo inatambuliwa na VETA .
Kwa maelezo zaidi fika chuoni Tangibovu, Mbezi Beach, Dar es salaam ama piga namba 0752592504 ama 0713220304.
Mawasiiliano zaidi:
Tel: +255-222617703
Fax: +255-2222617703
email:almaktoum.college@gmail.com
website: www.almaktoum.ac.tz
No comments:
Post a Comment