Pages
▼
BREAKING NEWS: LORI LA MIZIGO LAPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA MUDA HUU, ABIRIA WAAMUA KUCHIMBA NJIA YAO
Lori hilo likiwa limeziba njia muda huu
Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupita
Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia muda huu
Picha na Iringa yetu
Namna hiyo watu lazima muwe na planB
ReplyDelete