DC TABORA, KIGOMA, WAITAKA EWURA KUONGEZA HAMASA NISHATI SAFI, VITUO VYA
MAFUTA VIJIJINI
-
*Meneja wa EWURA Kanda ya Magaharibi, Mha. Karim Ally(kushoto) akitoa
maelezo ya majukumu yanayotekelezwa na Mamlaka kwa Mkuu wa Wilaya ya
Kigoma, Mh....
2 hours ago

Ningeomba serikali suala la ajira ilichunguze vzr sana,Maana imefikia hatua hat sehemu za za kufanyia mazoezi kwa vitendo katika idara zilizo chini ya serikali nafasi zinatolewa kwa misingi ya ninani na anafahamikaje.Vilevile serikali ichunguze na ajira za mabenki yaliyo chini yake,TRA na idara nyinginezo.Zimeoza kabisa kama huna ndg siku hizi tunasema refa hupati nafasi ya kazi hapa TZ.
ReplyDelete