Pages

Saturday, July 5, 2014

BREAKING NEWSSSS:::AJALI MBAYA YATOKEA MDA HUU MAENEO MBEZI KARIBU NA HOTEL YA GIRAFE MTU MOJA ANADAIWA KUFARIKI NA WAWILI NI MAJERUHI SANA,PICHA HIZI HAPA

 Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj
 Gari ikiwa imeharibika vibaya
 Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
Ajali mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa hospitali.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa gari hiyo na pia alikuwa amelewa ndipo gari ikamshinda na kuparamia Bajaj,Tutakuletea Taarifa kamili

No comments:

Post a Comment