Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 4, 2014

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO YA KORA KAMA BEST MALE ARTIST OF EAST AFRICA JIONE HAPA



DIAMOND ASEMA

"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!

http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/


No comments:

Post a Comment