Ijumaa ya leo ni ya mwanzo ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhan,
basi msikilize Marehemu Sheikh Nassor Bachu akituelezea faida zake,
Mungu amuweke mahala pema peponi Ameen
Inshallah kesho tutawawekea Part two ambayo pia itakuwa na
video mbili.Kwa Msaada wa Jestina George
No comments:
Post a Comment