Wiki moja baada ya mgogoro kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi kudaiwa kumalizika mapya yaibuka wachungaji wake Sita wasimamishwa kutoa huduma ya kiroho
Makamu mwenyekiti Zacharia Sichone adaiwa kukiuka maazimio ya ya kikao cha usuluhishi kilichofanyika kwa mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk . Norman Sigalla cha julai 16 Mwaka huu
Makamu mwenyekiti Zacharia Sichone adaiwa kukiuka maazimio ya ya kikao cha usuluhishi kilichofanyika kwa mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk . Norman Sigalla cha julai 16 Mwaka huu
Wachungani waliosimamishwa waja juu na kutoa tamko zito
No comments:
Post a Comment