HOT NEWSSS:::LORI LA MCHANGA LAGONGA NOAH VIBAYA ENEO LA BUNJU PICHA HIZI HAPA
UZEMBE WA MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJARI TANZANIA AJARI HII IMETOKEA BUNJU A DAR-SALAAM. DEREVA WA LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO LILILOKUWA MBELE YAKE WAKATI HUO HUO KARI DOGO HILO LILIKUWA LINA PINDA KONA HIKI NDICHO KILICHOTOEA. BAATI MZURI AKUKUTOKEA KIFO KATIKA AJARI HII.
No comments:
Post a Comment