Habari za Tulizopata kutokea Mayfair Plazza karibu sana na Shoppers Plazza ni kwamba basi la Magereza linalotumika kusafirisha mahabusu kwenda Mahakamani na kurudi Rumande limevamiwa watu wasiojulikana wanaodhaniwa ni majambazi na kulipasua vioo vyote kwa risasi na pia kujeruhi askari magereza |
No comments:
Post a Comment