Asema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu
wananchi wanahitaji katiba bora. Amesema ni muhimu mchakato uhairishwe ili
ufanyike kwa ubora zaidi.
Jambo la msingi ni kufanya mabadiliko yatakayotuletea
uchaguzi huru na wa haki ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi na kukata
rufaa ya matokeo ya uraisi.
Amesema baada ya kujitathmini na kufanya uamuzi kwa 90% yupo
tayari kugombea urais kwa kuwa nchi inahitaji kizazi kipya kitakachokabiliana
na changamoto za karne ya 21.
Source: BBC Swahili
|
No comments:
Post a Comment