Pages

Tuesday, July 1, 2014

KIJANA ACHEZEA KICHAPO ALIPOKUWA AKITAKA KUIBA ENEO LA KIGAMBONI SHUHUDIA HAPA


 Aliye vaa vest nyeupe ni kibaka aliyekuwa akitaka kuiba akiwa ameshikwa na Polisi jamii aliyevua shati kupambana na Kibaka huyo.
 Baadhi ya Vijana wakitaka kumtandika kijana huyo mwizi
 Kibaka huyo akiwa amelala baada ya kupigwa na vijana wenye Hasira kali
 Aliye vua shati ni Askari wa ulinzi shirikishi akiwa  anawasiliana na wenzake kuja kumchukua kibaka huyo.


Picha na Dar es salaam yetu

No comments:

Post a Comment