MWANAMUZIKI wa nyimbo za kizazi kipya ‘Bongofleva’
Estalina Sanga ‘Linah’, juzi kati alitoa misaada kwa wajane na vikongwe
wanaoishi maeneo ya Yombo-Kilakala ukiwa mkono wa Idd Mubarak.
Akizungumza na mtandao huu muda mfupi kabla hajakabidhi misaada hiyo, alisema kuwa kilichomfanya akaenda Yombo ni huruma yake kwa kinamama wajane kwani naye hali hiyo inaweza kumtokea.

No comments:
Post a Comment