Pages

Tuesday, July 1, 2014

MWILI WA MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUCO ALIYECHOMWA AKIDHANIWA MWIZI WAAGWA KWA MAJONZI


Mwili wa Daniel Lema ukiagwa na baadhi ya wanachuo pamoja na raia waliojitokeza kuhudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu mapema asubuhi ya leo katika hospitali ya rufaa mkoani iringa.

Mwanafunzi (LEMA) aliyejeruhiwa kwa moto

  Baadhi ya raia walijitokeza kumuaga Lema katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa mkoani Iringa.












LEMA Aliyekua akisoma mwaka wa 4 kozi ya sheria katika chuo kikuu kishiriki cha Mt.Augustino Tawi la Iringa (Ruaha University College-RUCO), mwanzoni mwa wiki hii ameshambuliwa kwa kuunguzwa na moto akidhaniwa ni mwizi.



No comments:

Post a Comment