Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri Dayosisi ya
Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika Ibada ya kumsimika kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika
mjini Songea Julai 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment